Content removal request!


HIGHLIGHT AZAM VS KATOR 2-1

MAGOLI Yote Azam FC Dhidi ya Dakadaha FC MABINGWA watetezi wa Kombe la Kagame, Azam FC wameanza vizuri harakati za kutetea ubingwa wao baada ya jioni ya leo kuifunga Kator FC ya Sudan Kusini mabao 2-1 katika mchezo wake wa kwanza wa michuano hiyo. Katika mchezo huo uliochezwa kuanzia saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi Mbagala jijini Dar es Salaam, mabao mawili ya Azam FC yalifungwa na mshambuliaji Shaaban Idd Chilunda. Chilunda aliifungia Azam FC bao la kwanza katika dakika ya 28, bao lililodumu hadi mapumziko na katika kipindi cha pili dakika ya 48 Chilunda alifunga bao la pili akipokea pasi ya Bruce Kangwa. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..