Content removal request!


Yikpe aifunga tena Singida United Yanga ikishinda 3-1 Taifa

Yikpe Gislain Gnamien amefunga goli lake la pili kwenye VPL msimu huu katika magoli matatu ambayo Yanga imeichapa Singida United leo na kuibuka na ushindi wa mabao 3-1. Magoli mengine yamefungwa na Mrisho Ngasa na Paul Godfrey wakati bao la Singida likifungwa na Stephen Sey.Highlights Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz