Content removal request!


Highlights: Tazama Simba ilivyopambana kutetea ubingwa wake kwa sare ya 0-0 na TZ Prisons

TANZANIA PRISONS 0-0 SIMBA SC: SIMBA BINGWA 2019/20 Timu ya Simba SC imefanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) ikiwa bado na mechi sita mkononi baada ya kutoka suluhu na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa leo na kufikisha pointi 79 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye msimamo wa ligi. . Huu ni ubingwa wa tatu mfululizo kwa Simba baada ya kufanya hivyo pia katika misimu miwili iliyopita 2017/18 na 2018/19. Tazama highlights za mechi. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz