Content removal request!


SIMBA YAWEKA REKODI MPYA AFRIKA BAADA YA KUWAFUNGA AL AHLY

Klabu ya simba imetengeneza rekodi mpya barani Africa na hii ni kwa mujibu wa Caf kwamba Simba ni moja ya Timu kali inapocheza uwanja wa Nyumbani....kwani kwenye mechi 19...imeshinda 13,sare 3 na kufungwa 3