Goli pekee la Jeremiah Juma Mgunda limeipa Tanzania Prisons pointi tatu ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, katika mchezo wa ligi kuu ...