"SIMBA Wangetufunga HATA 4 Leo, HATUJACHEZA Vizuri KABISA" - KOCHA KAGERA SGR KOcha wa Kagera Sugar Mecky Maxime amewapongeza kikosi cha Simba baada ya kupata alama tatu dhidi yao huku akitoa pole kwa wachezaji wake kwa kutofanya vizuri katika mechi hiyo. Simba wamefikisha alama 50 katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara huku ikiendelea kushikilia nafasi ya kwanza na wapinzani wao wakiambulia alama moja dhidi ya Polisi Tanzania. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline