Content removal request!


Yanga Marufuku Kuingia Uwanjani Kuishangilia Plateau Utd #TIKITAKAKWAMKAPA

Msemaji wa Simba sc Ndg Haji Manara amewaonya Madshabiki wa Klabu ya Yanga kutokwenda Uwanja wa MKapa Kuishangilia Plateau United, Akiongea na Wanahabari Manara amesisitiza iwapo shabiki wa Yanga atafanikiwa kupenya kuingia Uwanja wa Mkapakutazama mechi hio basi asibughudhiwe wala asipigwe, Tazama Mahojiano haya kwa urefu kuelekea mechi ya marejeano (Simba sc vs Plateau utd) SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1