Highlights | Al Hilal 1-0 Simba SC | Mechi ya Kirafiki 31/08/2022
Simba SC imepoteza mchezo wake wa pili kati ya mechi mbili za kirafiki ilizocheza nchini Sudan, leo ikipokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao, Al Hilal.
Goli pekee la Hilal kwenye mchezo huo limefungwa na John Mano dakika ya 62.