Klabu ya simba imetengeneza rekodi mpya barani Africa na hii ni kwa mujibu wa Caf kwamba Simba ni moja ya Timu kali inapocheza uwanja wa Nyumbani....kwani kwenye mechi 19...imeshinda 13,sare 3 na kufungwa 3
#simba #ligikuutanzania #jkttanzania #cloud #geoflea Simba imeshinda goli moja kwa bila dhidi ya JKT Tanznia ambapo goli la simba lilifungwa dakika ya 96 zikiwa zimeongezwa dakika 7,
Azam fc yazid kusuasua kunako ligi kuu Tanzania Bara...yakubali kipigo mbele ya simba
Mchambuzi wa soka nchini shaffih dauda ameukubali mziki wa Simba baada ya kuinyuka National al ahly ya Misri
Goli LA simba lililofungwa na Medy kagere Uwanja wa Taifa Dar es salaam...