Azam TV Azam TV
@azamtvtz
Tayari soka limeanza hapa kwenye Dimba la Samora mjini Iringa. Ni Lipuli FC vs Azam FC LIVE #AzamSports2 #TanzaniaPremierLeague #SisiNiSoka #LigiKuuTanzaniaBara #AzamTVApp #LipuliFC #AzamFC #LipuliVsAzam https://t.co/bIkXPmvM5U
Published By : @Azam TV
LIPULI FC 0 VS AZAM FC 0 #LigiKuuTanzaniaBara #SamoraIringa 01' #WanaPaluhengo
FLY BOY🔥 FLY BOY🔥
@innocentgrandhu
Azam fc na Lipuli https://t.co/Spynx5z418
Published By : @FLY BOY🔥
borshchenko borshchenko
@foodsrecipe
Lipuli vs Azam, Feb 11, 2019 - predictions https://t.co/kakFCjLoK3 Tanzanian Premier League, Lipuli – Azam, Monday, 8:00 am ET 00:00 / 90:00 Watch and bet Lipuli – Azam live Sign in or Register (it’s free) to watch and bet Live Strea…
Azam TV Azam TV
@azamtvtz
LIPULI FC vs AZAM FC: Dimba la Samora mjini Iringa dakika chache kabla ya game itakayoanza saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports2 #TanzaniaPremierLeague #SisiNiSoka #LigiKuuTanzaniaBara #AzamTVApp #LipuliVsAzam #LipuliFC #AzamFC https://t.co/xz3mWqYpVQ
Published By : @Azam TV
Issaazam Issaazam
@issaazam1
#MatchDayAction 🏆 (VPL)Round 26 🆚 Lipuli FC Samora Stadium 🕗 4.00 PM /E.A.T Viva Azam FC tushinde mechi hii🔥🔥🔥 #TimuBoraBidhaaBora #Africanfrutimenogafresh #UhaiDreekingWoter… https://t.co/I7ElFeVz86
Darmpya Darmpya
@darmpya_
Klabu ya Azam FC leo Jumatatu, Februari 11, 2019 itakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Lipuli FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Saa 10: 00 Jioni Uwanja wa Samora, Iringa. #DarMpyaSportUpdates https://t.co/utYMfVX3k8
Published By : @Darmpya
Azam FC Azam FC
@azamfc
Timu zote mbili zimeonekana kuwa kwenye nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi, Azam FC ikiwa nafasi ya pili kwa pointi zake 48 huku Lipuli ikiwa nafasi ya nne baada ya kujisanyia pointi 36. https://t.co/04PCcoWxW3
Azam FC Azam FC
@azamfc
Timu hizo zilipokutana raundi ya kwanza kwenye Uwanja wa Azam Complex, zilitoka suluhu ya bila kufungana, Azam FC ikionekana kucheza soka la hali ya juu lakini ilikosa bahati ya ushindi kufuatia kukosa nafasi kadhaa za kufunga. https://t.co/khtSlrLGuc
This website is using cookies. More info. That's Fine